Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali aliowaalika katika futari
katika ikulu ya mjini Mbeya jana jioni.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki
katika swala ya magharibi muda mfupi kabla ya futari ambayo aliwaalika viongozi
mbalimbali wa dini mjini Mbeya jana(Picha na Freddy Maro)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki
katika swala ya magharibi muda mfupi kabla ya futari ambayo aliwaalika viongozi
mbalimbali wa dini mjini Mbeya jana(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)