Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwekezaji kutoka Nigeria, Bw.Aliko
Dangote (kulia) ambaye anakusudia kujenga kiwanda cha saruji mkoani
Mtwara, baada ya mazungumzo yao jijini Dar es salaam Julai
15,2012.Kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini, Dr. Ishaya Manjabu.Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)