MAMIA WAJITOKEZA KWENYE EPIQ BONGO STAR SEARCH JIJINI TANGA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAMIA WAJITOKEZA KWENYE EPIQ BONGO STAR SEARCH JIJINI TANGA LEO

 Washiriki wa EBSS wakiwa nje ya ukumbi wa Club la Casa Chika jijini Tanga tayari kwa kufanya usaili na kupatiwa namba zao kusubiri kuingia kwa majaji.
 Mshewa Mussa akiwakilisha tena baada ya kete yake ya awali mkoani Arusha kugonga mwamba na kuamua kutia maguu jijini Tanga kujaribu bahati yake.
 Washiriki wa EBSS wakiwa nje ya ukumbi wa Club la Casa Chika jijini Tanga kusubiri kuingia kwa majaji.
 Faisal Jafari wa kutoka Tanga nae akisubiri kurusha kete yake kwa majaji.
Mshiriki Hidaya Hanein akiwa katika foleni ya kuingia kwa majaji
Mshiriki wa Shindano la Epiq Bongo Star Search Digna Mbetela kutoka Dodoma akiwa mbele ya majaji wa shindano hilo (hawapo pichani) walipokuwa wakifanya mchujo mkoani Tanga katika Ukumbi wa Club La Casa Chika Julai 28,2012 na mwana dada huyo kujitosa tena kujaribu bahati yake ya kwenda jijini Dar es Salaam.

 Mwamko wa washiriki katika shindano la Zantel Epiq Bong Star Search umekuwa kama ulivyotegemewa ambapo zaidi ya washiriki 300 walikuwa wameisha jisajiri kwanza kwa ajiri ya kufanya usaili siku ya leo.

Washiriki wengi walioshindwa kupata nafasi katika mikoa usaili uliopitiawamejitokeza katika mkoa wa Tanga kitu ambacho kimeongeza ushindani kwawashiriki kutokea eneo hili la Tanga.Picha Kwa Hisani Ya Father Kidevu Blog.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages