HALI ILIVYO UWANJA WA TAIFA KABLA YA MTANANGE WA FAINALI KATI YA AZAM NA YANGA MUDA HUU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

HALI ILIVYO UWANJA WA TAIFA KABLA YA MTANANGE WA FAINALI KATI YA AZAM NA YANGA MUDA HUU

Wakazi wa Jiji Wakiwa kwenye foleni kwaajili ya kukata tiketi
Mashabiki wa Yanga wakishangilia hapa ni nje ya uwanja wa taifa
Mambo yalivyo Geti la kuingilia 
Uwanjani panavyoonekana kabla ya mpambano wa nguvu kuanza
TV inavyosomeka hapo kabla ya mechi kuanza
Mashabiki wa Azam hao
Kijana Linga na Areman Wakiwa Ndani ya Uwanja tayari kushuhudia mtanange wa azam na yanga
Ripota wenu nikiwa na kijana Areman Tukingojea mpambano uanze
Nikiwa na Kijana wangu Linga Hapa tukisubiri mtanange uanze
 Mashabiki wa Yanga hao
Kijana Linga na Areman Wakiwa Pamoja Mbele ya Jicho la Lukaza Blog
 Wachezaji wa Timu Zote mbili wakipiga jaramba kabla ya mchezo kuanza.Na Zimebaki Dakika Chache Mpira Kuanza.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages