WAZIRI DR. FENELLA MUKANGARA AFUNGUA MASHINDANO YA UMISETA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

WAZIRI DR. FENELLA MUKANGARA AFUNGUA MASHINDANO YA UMISETA

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akishuhudia gwaride la maandamano ya wanafunzi wa shule za sekondari wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) uliofanyika Kibaha Mkoani Pwani.
Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo,uzinduzi huo ulifanyika jana Mkoani Pwani.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na wachezaji wa Umoja wa Michezo wa shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) (hawapo pichani) wakati alipokwenda kuzindua mashindano hayo Kibaha mkoani Pwani.Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh.Jumanne Sagini.
Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya michezo mbalimbali ya  shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara wakati wa uzinduzi wa  Mashindano ya shule za Sekondari Tanzania (UMISETA). (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages