Meya wa
Manispaa ya Mbeya, Athanas Kapunga(kulia) akimkabidhi Rose Maluila mashine ya
kutengeneza Crips ya kisasa baada ya kufuzu kupata ruzuku za Safari
Wezeshwa,makabidhiano hayo yalifanyika Viwanja vya CCM Iloma Mjini Mbeya mwishoni
mwa wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
Meya wa
Manispaa ya Mbeya, Athanas Kapunga(kulia) akimkabidhi Vumilia Mtweve
Viti,Meza,Krti za Bia na Jiko la Kisasa baada ya kufuzu kupata ruzuku za Safari
Wezeshwa,makabidhiano hayo yalifanyika Viwanja vya CCM Iloma Mjini Mbeya mwishoni
mwa wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
Meya wa
Manispaa ya Mbeya, Athanas Kapunga(kulia) akimkabidhi Bahati Mbata Cherehani za
kisasa baada ya kufuzu kupata ruzuku za Safari Wezeshwa,makabidhiano hayo
yalifanyika Viwanja vya CCM Iloma Mjini Mbeya mwishoni mwa wiki.Katikati ni
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
Meya
wa Manispaa ya Mbeya, Athanas Kapunga(kulia) akimkabidhi Phares Lyimo Compresor
ya kutengenezea Ngoma za kisasa na mashine ya Welding baada ya kufuzu kupata ruzuku za Safari
Wezeshwa,makabidhiano hayo yalifanyika Viwanja vya CCM Iloma Mjini Mbeya mwishoni
mwa wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
Meneja wa
Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na Wajasiliamali,wageni
waalikwa na wakazi wa Mbeya wakati wa hafla ya kukabidhi ruzuku kwa
wajasiliamali wa Safari Wezeshwa katika Uwanja wa CCM Ilomba Mbeya mwishoni mwa
wiki.
Meya wa
Manispaa ya Mbeya, Athanas Kapunga(kulia) akimkabidhi Hellen Mwanguku mashine
ya kuwokea mikate baada ya kufuzu kupata ruzuku za Safari Wezeshwa,makabidhiano
hayo yalifanyika Viwanja vya CCM Iloma Mjini Mbeya mwishoni mwa wiki.Kushoto ni
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)