Baadhi ya
wafanyakazi wa benki ya UBA wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya
kwenda kwenye mazoezi Kigamboni jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.
|
Kushoto
ni Bw. Rock Meneja mkazi wa benki ya UBA nchini na kushoto ni Victor
Meneja wa tawi la benki ya UBA Kariakoo wakiwa katika picha ya pamoja
wakati wakijiandaa pamoja na wafanyakazi wengine wa benki hiyo katika
tawi la City Centre Branch Posta, kwenda Kigamboni ambako walikuwa na
mazoezi ya viungo na baadae walitoa misaada mbalimbali ya kibinadamu
ikiwa ni vyakula mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni mbili,
katika kituo cha watoto yatima cha cha Hope Family kilichopo Kigamboni
jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. |
Kutoka kulia ni
Jack, Marjory, Asha na Natasha wakipozi kwa picha wakati wakijiandaa
kwenda kigamboni kwa ajili ya kufanya mazoezi na kutoa msaada katika
kituo cha watoto yatima cha Hope Family kilichopo Kigamboni jijini Dar
es salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)