Mmoja
wa wakazi wa jijini Dares Salaam aliefika Coco-Beach kushuhudia
uzinduzi wa Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na Vodacom Tanzania
akipata huduma ya Vodacom Dstv,Tamasha hilo litafanyika katika mikoa
minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia
mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe
kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
Mkuu
wa kitengo cha Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Joseline Kamuhanda
akiongea na waandishi wa habari waliofika kushuhudia uzinduzi wa Tamasha
la”WAJANJA”Coco Beach jijini Dares Salaam leo,Tamasha hilo
linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo litafanyika katika
mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia
mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe
kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
Umati
wa wakazi wa Jiji la Dares Salaam waliojitokeza katika uzinduzi wa
Tamasha la”WAJANJA”Coco Beach jijini Dares Salaam leo,Tamasha hilo
linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo litafanyika katika
mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia
mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe
kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
Mtangazaji
wa Clouds FM radio ya watu Hamis Mandi( B12)akiwapagawisha kimtindo
wapenzi wa hip hop waliofika Coco beach katika tamasha
la”WAJANJA”tamasha hilo linaendeshwa na Vodacom Tanzania, limezinduziwa
rasmi Leo na litaendelea kufanyika katika mikoa minne hapa nchini
likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo
kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na
tano na kutumia facebook na twitter bure.
Msanii
wa kikundi cha Pah- one akipagawisha wakazi wa jiji la Dares Salaam
waliofika katika uzinduzi wa tamasha la”WAJANJA” tamasha hilo
linaendeshwa na Vodacom Tanzania, limezinduziwa rasmi Leo na litaendelea
kufanyika katika mikoa minne hapa nchini likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia
facebook na twitter bure.
Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kevin Twissa
(kushoto)akiwa amepozi kwa picha na Mtangazaji wa Clouds FM,Hamis
Mandi(B12)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)