TAASISI INAYOJISHUGHULISHA NA MAMBO YA UCHUMI YA DELOITTE YAANDA SEMINA YA BAJETI YA AFRIKA MASHARIKI KWA MWAKA 2012/2013 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

TAASISI INAYOJISHUGHULISHA NA MAMBO YA UCHUMI YA DELOITTE YAANDA SEMINA YA BAJETI YA AFRIKA MASHARIKI KWA MWAKA 2012/2013

 Baadhi ya washiriki wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za  Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na  Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte.
 Meneja Mshauri Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte Bw.Frederick Nsemwa,akiongea wakati wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za  Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na  Taasisi hiyo.
 Baadhi ya washiriki wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za  Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na  Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte.
 Baadhi ya washiriki wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za  Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na  Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte.
 Mkurugenzi wa Asasi zisizo za kiserikali Bw.John Olanga akiongea wakati wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za  Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na  Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte,katikati ni Mwenyekiti wa shirikisho la viwanda Tanzania Felix Mosha na Mkurugenzi mtendaji wa Samaria Groups Jayesh Shah.
 Mtaalam wa Maswala ya Kodi na nishati ya umeme wa kampuni ya Deloitte Bill Page akichangia mada kuhusiana na bajeti ya nchi za  Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakifatilia semina hiyo iliyoandaliwa na  Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte.
Baadhi ya washiriki wa semina ya kujadili bajeti ya nchi za  Afrika Mashariki kwa mwaka 2012/13 wakibadilishana mawazo baada ya semina hiyo kumalizika iliyoandaliwa na  Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages