Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
mazungumzo na viongozi wa kampuni ya kilimo ya YARA ya nchini Norway inayoshughulika na
uzalishaji wa mbolea wakati walipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam
leo.Kampuni hiyo ina andaa mipango ya kuzalisha mbolea nchini.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi wa kampuni ya Kilimo ya YARA ya nchini Norway wakati
alipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo.(Picha na Freddy Maro- IKULU) )
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)