Miss Dar InterColledge 2012 wazidi kujifua - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Miss Dar InterColledge 2012 wazidi kujifua

 Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Dar Inter Collodge 2012, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Hoteli ya Grand Villa Kijitonyama Jijini Dar es Salaam. Shindano hilo litakalo pambwa na Burudani kutoka kwa Diamond linataraji kufanyika Ijumaa Juni 22, 2012 katika Ukumbi wa Makumbusho jirani na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)
Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Dar Inter Collodge 2012, wakifanya mazoezi ya wimbo wao wa ufunguzi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Hoteli ya Grand Villa Kijitonyama Jijini Dar es Salaam. Shindano hilo litakalo pambwa na Burudani kutoka kwa Diamond linataraji kufanyika Ijumaa Juni 22, 2012 katika Ukumbi wa Makumbusho jirani na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages