Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid
Mohamed (kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 27,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mbinga Mashariki
Gaudence Kayombo, kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma Juni
27,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimina na Mbunge wa Dole, Sylvester
Mabumba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 27, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wawekezaji katika sekta ya
madini mkoani Mara kutoka kampuni ya Gemini Corporation ya Urusi baada
ya kuzungumza nao, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Juni 27,2012.
Kushoto ni Mwenyeji wao , Mbunge wa Viti Maalum Zainab Kawawa.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wawekezaji
katika sekta ya madini mkoani Mara kutoka kampuni ya Gemini Corporation
ya Urusi baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma
Juni 27,2012. Kushoto ni Mwenyeji wao , Mbunge wa Viti Maalum Zainab
Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)