Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi
Seif Iddy akimsalimia mwakilishi wa Taasisi ya Huduma za Teknolojia ya
Afya ya Chuo Kikuu Cha Brown kilichopo Boston Nchini Marekani Bw. Jayson
ofisini kwake Vuga mjini Unguja, Zanzibar. Katikati ni Mkurugenzi
mwenza wa Taasisi hiyo Bwana Hai Sheng Chia.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na
Mwakilishi wa Taasisi inayojihusisha na huduma za Teknolojia ya Afya
Nchini Marekani ya Med International Bwana Jayson Marwaha ambaye wapo
Nchini kufanya utafiti wa Afya kwa Hospitali za Zanzibar. Hatua hii ni
utekelezaji wa ahadi waliyompa Balozi Seif wakati walipokutana nao
Nchini Marekani Mwezi Oktoba Mwaka jana.Kulia Kwa Balozi Seif ni Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dr. Sira Ubwa Mwamboya.Picha na Saleh Masoud-Ofisi ya Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)