WANAFUNZI UDOM WAANZA KUCHEKA MARA BAADA YA MAJINA YA MKOPO KUTOKA - LUKAZA BLOG

Slider

KITAIFA

BIASHARA

FILAMU

AFYA

BURUDANI

MICHEZO

JAMII

» »Unlabelled » WANAFUNZI UDOM WAANZA KUCHEKA MARA BAADA YA MAJINA YA MKOPO KUTOKA

Wanafunzi wa UDOM wakiwa Makini kuangalia majina yao kwaajili ya kuanza zoezi la kusaini na kupewa pesa zao za kujikimu  baada ya msoto wa zaidi ya wiki tatu huku hali ikiwa mbaya chuoni hapa.Wanafunzi hao wameonekana kuwa na furaha na matumaini ya kupata pesa zao kutokana na kukaa zaidi ya wiki tatu bila kupata pesa zao  na kupelekea wanafunzi hao kuwa na maisha magumu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)