Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama
za Netiboli Tanzania (CHANETA), Anna Bayi moja kati ya katoni 40 za
maji ya kunywa wakati wake wa viongozi walipotembelea kambi ya timu ya
taifa ya netiboli, Taifa Queens kwenye shule ya sekondari ya Filbert
Bayi, Kibaha Mai 1, 2012. Kulia ni Mke wa Mkamu wa Rais, Mama Zakia
Bilal
na watatu kulia pia ni Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal
kushoto ni Mama Hasna Kawawa.
Wake wa Viongozi Wakuu wa Serikali ambao ni wananchama wa New Millenium
Group wakihuhudia mazoezi ya timu ya taifa ya netiboli, Taifa Queens
kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Filbert Bayi iliyopo Kibaha, Mai
Mosi 2012. Kutoka kushoto ni Regina Lwassa, Zakia Bilal, Mwenyekiti wa
CHANETA, Anna Bayi, Tunu Pinda, Anna Mkapa, Asha Bilal na Khadija Mwinyi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)