Rais
imteulewa Chama cha Majaji na Mahakimu WanawakeDuniani
(AIWJ),Mheshimiwa Jaji EusebiaMunuo,(katikati)akisikiliza kwamakini
wajumbe wengine wakichangia mada kwenye Mkutano huo, mara baadaya kukabidhiwa rasmi nafasi ya kuwa Raisi
wa Chama hicho.
Raisi Mteule wa Chama cha Majaji na Mahakimu,Mhe. Eusebia Munuo akikabidhiwa Bango na aliyekuwa Raisi wa Chama hicho, Lady Brenda M. Hale.
Sherehe,
ndere mo na vifijo katika Ukumbi waMikutano, mara baada Mheshimiwa Jaji
Munuo kutangazwa rasmi kuwa Raisi mpya wa Chama hicho naTanzania
kukabidhiwa rasmi nafasi ya kuwa Mwenyejiwa Mkutano ujao wa Chama
hichoMwaka 2014
Ujumbe
wa Majaji naMahakimu kutoka Tanzania, wakiwa kwenye picha ya pamoja,
mara baada ya kukabidhiwa rasmi Bango la Chama hicho cha Majaji
Duniani(AIWJ)nakupe wa nafasi ya kuwa Mwenyejiwa Mkutano Mkuu ujao wa
Chama hicho utakofanyika Mwezi Mei, 2014 MjiniArusha – Tanzania.
---
Chama cha MajajiWanawakeduniani (IAWJ) kilikuwanamkutano wake Mkuuuliofanyika London Uingerezatarehe2-5 Mei 2012.
Kwenye
Mkutano huo Tanzania,iliwakilishwa naMajaji naMahakimu ambao ni
wanachama wa IAWJ (International Association of Women Judges)na Chama
cha MajajinaMahakimu Tanzania (TAWJA).
Katika mkutano huo,viongozi mbalimbali walichaguli wakushika nyadhifa kukiongoza chama hicho kwa kipindi cha miakamiwili.
Mhe.JajiEusebiaMunuo, ambae pia ni Jaji waMahakama yaRufani Tanzania alichaguliwa kuwa Rais wa chama hicho.
Pamoja na kuchaguliwa ktk nafasi hiyo,Mheshimiwa Jaji Munuo,pia alikabidhiwa rasmi Bango la chama hicho.Kwa
kukadhiwa Bango hilo,Tanzania sasa imekabidhiwa rasmi nafasi ya kuwa
mwenyeji wa Mkutano mkuu ujao w achama hicho.Mkutano huo unatarajiwa
kufanyika mwezi Mei 2014 katikaUkumbi waMikutano wa AICC Arusha
Tanzania.
Ujumbe wa Tanzania uliokuwepo kwenye mkutano huo ulipokea wa dhifa hu0
kwa shangwe nafuraha kubwa kama inavyonekana kwenyepicha.
Tanzania itashikilia nafasi hiyo yaUrais wa chama hicho mpaka mwaka 2014.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)