SERENGETI YAMKABIDHI ZAWADI YAKE MSHINDI WA JENERETA MKOANI IRINGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

SERENGETI YAMKABIDHI ZAWADI YAKE MSHINDI WA JENERETA MKOANI IRINGA

Mwakilishi wa kampuni ya bia ya Serengeti Mkoani Iringa Bw. Philip Ghucha (kulia) akikabidhi jenereta kwa mshindi wa promosheni ya VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO Bw.  Reymond Denis kutoka Iringa aliyejishindia jenereta hiyo kupitia bia ya Tusker Lager, promosheni hiyo  inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti nchi nzima kwa wiki 16 kupitia bia za Premium  Serengeti Lager,Tusker Lager na Pilsner Lager  ambapo zaidi ya milioni 180 zinashindaniwa 
Mshindi wa jenereta Bw. Reymond Denis(katikati) akielezea hisia zake baada ya kukabidhiwa jenereta ambapo alisema kuwa hakutegemea kuwa atashinda lakini sasa anaamini kujaribu ni kushinda na sasa anaweza kufanya kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia genereta hiyo,” naishukuru sana SBL kwa kubadisha maisha yangu na kuwa bora zaidi. 
Washabiki na wapenzi wa bia za (SBL) wanywaji wa bia za Tusker na Serengeti wakimpongeza Bw. Reymond Denis ambapo baadaye kila mmoja alipata nafasi ya kutoa maoni na kusema kuwa siku zote waliamini promosheni ni uzushi lakini sasa wamejawa na imani, morali na hamu ya kuendelea kushiriki, “ Kwanza tumefurahi sana SBL kutufuata hadi huku kijijini kwetu kutuletea zawadi kwani tumezoea kampuni zingine wanakuita uifuate mwenyewe na wakati mwingine mtu huna hata shilingi moja ya kusafiri wala ya kusafirishia zawadi hiyo, tunawashukuru sana SBL. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages