Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla Akabidhi Shilingi Milioni Kumi Kwa Mama wa Marehemu Steven Kanumba Kwa Niaba Ya Serikali, na Kukabidhi Bendera Ya Taifa Kwa Timu ya Taifa ya Mchezo wa Golf - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla Akabidhi Shilingi Milioni Kumi Kwa Mama wa Marehemu Steven Kanumba Kwa Niaba Ya Serikali, na Kukabidhi Bendera Ya Taifa Kwa Timu ya Taifa ya Mchezo wa Golf

 Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla akikabidhi kiasi cha shilingi milioni kumi kwa mama wa marehemu Steven Kanumba ikiwa ni rambirambi ya Serikali kwa familia.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla akikabidhi bendera kwa Timu  ya Taifa ya mchezo wa Golf inayotarajiwa kusafiri kwenda  Gaborone Botwsana kwa ajili ya mashindano ya chalenji ya Afrika kwa upande wa Wanawake.Wapili kushoto ni  Mh. Mery Chatanda (Mbunge).Picha na Benjamin Sawe- Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages