MKUTANO WA KIMATAIFA WA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA UJERUMANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MKUTANO WA KIMATAIFA WA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA UJERUMANI

 Bi. Christiana Figeres, Executive Secretary wa  United Nations Framework Convention on Climate Change (UNFCCC) akifungua mkutano  wa kimataifa wa sayansi na taaluma wa mabadiliko ya tabia nchi, Mjini Bonn Ujerumani.
 Pichani Kulia, Bw Richard Muyungi Mkurugenzi  Msaidizi wa Idara ya Mazingira Ya Ofisi wa Makamu wa Rais, ambae Pia ni mwenyekiti wa Dunia wa kamati ya sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabia Nchi, pamoja na washiriki wengine katika ufunguzi wa mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya Tabia nchi unaoendela mjini Bonn Ujerumani
Mbele Kulia, Bwana Alfonce Bikulamchi, Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais akifuatilia kwa umakini ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Sayansi na Taaluma wa masuala ya mabadiliko ya Tabia Nchi unaondelea Mjini Bonn Ujerumani.  Picha na Evelyn Mkokoi, Bonn

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages