Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Chuo kipya cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi (NDC), Meja Jenerali Charles Makakala - LUKAZA BLOG

Slider

KITAIFA

BIASHARA

FILAMU

AFYA

BURUDANI

MICHEZO

JAMII

» »Unlabelled » Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Chuo kipya cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi (NDC), Meja Jenerali Charles Makakala

Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Chuo kipya cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi (NDC), Meja Jenerali Charles Makakala, baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu baina ya Serikali za Tanzania na China kuhusu mafunzo ya ulinzi katika chuo hicho kilichopo Kunduchi, Dar es Salaam, jana. (Picha na Muhidin Sufiani).

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)