Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Akabidhi Bendera Ya Zanzibar Watoto Wanaowawakilisha Watoto Wenzao Mayatima Wakiwa na Viongozi Wao Wanaokwenda nchini Uturuki Kuiwakilisha Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Akabidhi Bendera Ya Zanzibar Watoto Wanaowawakilisha Watoto Wenzao Mayatima Wakiwa na Viongozi Wao Wanaokwenda nchini Uturuki Kuiwakilisha Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwakabidhi bendera ya Zanzibar, Watoto wanaowawakilisha Watoto wezao Mayatima wakiwa na Viongozi wao wanaokwenda nchini Uturuki kuiwakilisha Zanzibar katika Kongamano la Kimataifa la Kuadhimisha Siku ya Watoto Yatima litakalofanyika mjini Istambul Uturuki kuanzia tarehe 28/05 hadi 03/06/2012. na kuwajumuisha Watoto wanaotoka  Nchi mbalimbali Nduniani kushiri katika Kongamano hilo.Picha na Salmin Said,-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa  Rais Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages