Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment,
Evans Bukuku akifanya vitu vyake ndani ya kiota cha Nyumbani Lounge
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waliojitokeza kushuhudia.
...aha... aha wengine waliamua kuweka kumbukumbu.
Kila mmoja alikuwa na furaha.
...yani wewe hapa ni kazi tu
...wakifuatilia kwa ukaribu.
Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku akiwa katika sura ya kazi.
Mambo yakihifadhiwa.
Mchekeshaji
maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment, Evans Bukuku
akiwa pamoja na Enika wa kundi hilo wakionyesha maujuzi yao ya kuimba.
Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)