Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amempakata mtoto Raphael Mihayo (2) wakati
alipokagua mradi wa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa kwenye familia ya
Mzee Raphael Masanja katika kijiji cha Nyamigege wilayai Kahama akiwa
katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 25, 2012.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)