
Rais Jakaya Kikwete wa nne kutoka (kulia) akishiriki katika matembezi ya kuchangia shilingi Bilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa jengo la akina mama wenye matatizo ya ugonjwa wa Fistula katika hospitali ya CCBRT leo asubuhi jijini Dar es salaam, matembezi hayo yameanzia katika hoteli ya Golden Tulip na kumalizika katika Hospitali ya CCBRT Mikocheni, matembezi hayo yameandaliwa kwa pamoja na kampuni ya Vodacom Tanzania, Vodafone pamoja na hospitali ya CCBRT Kampeni hiyo inajulikana kama (Finde your Moyo).
Rais Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu wa Chadema, Willbroad Slaa na Mkurugenzi wa Huduma za Jamii wa CCBRT, Brenda Msangi wakishiriki katika mazoezi alipokuwa katika matembezi hayo leo.




Muandaaji wa Lukaza Blog, Josephat Lukaza nilikuwepo pia kwenye matembezi ya kuchangia ujenzi wa hospitali kwaajili ya wanawake wenye fistula ambayo yameandaliwa na Vodacom Tanzania wakishirikiana na Vodafone Foundation

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)