MISS TANZANIA KUTANGAZA MDHAMINI MPYA WA SHINDANO HILO KESHO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MISS TANZANIA KUTANGAZA MDHAMINI MPYA WA SHINDANO HILO KESHO

Tarehe 15 Februari 2012 katika ukumbi wa Savannah uliopo katika Jengo la Benjamin Mkapa saa 5.00 asubuhi, kampuni ya Lino International Agency inatarajia kufanya Mkutano na Waandishi wa vyombo mbalimbali vya Habari ili kutangaza mdhamini mkuu mpya wa mashindano ya Miss Tanzania kwa mwaka huu wa 2012.
Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari hii leo imesema Katika Mkutano huo atatangazwa Mdhamini Mkuu mpya wa Mashindano hayo ya urembo ya Miss Tanzania 2012 hivyo kuashiria mbio mpya za kumpata mwakilishi wa Miss Tanzania katika mashindano ya dunia Miss World.
Mashindano ya Miss Tanzania yalikuwa yakidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kwa muda mrefu mpaka ilipomaliza mkataba wake mwaka jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages