TASWIRA YA MAJENGO PACHA YA UDOM.... - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

TASWIRA YA MAJENGO PACHA YA UDOM....

DSC01061
Taswira la jengo la ofisi ya kitivo cha sayansi ya jamii cha chuo kikuu cha dodoma
DSC01063
Majengo Pacha ya Madarasa.Chuo Kikuu cha Dodoma Kina majengo mengi pacha kama hostel lakini haya ni baadhi ya majengo pacha ya madarasa ya Kitivo cha Sayansi ya Jamii.(La Kwanza Kushoto ni Theater one na la kwanza kulia ni Theater two)
DSC01066
Zahanati ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Kama Inavyoonekana Katika Picha
DSC01067
Haya nayo Ni Majengo pacha kama kawaida.Hizi ni Hostel za Kitivo cha Sayansi ya Jamii Cha Chuo Kikuu cha Dodoma

2 comments:

  1. Anonymous12:08 PM

    nice pics lukaza u seem u are a good camera man...big up and keep it up never give up mr i appreciate u alot.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Thanks a lot na nashukuru pia kuona unaona kazi zangu na kuzifurahia hope naendeleza majukumu na kazi kwa bidii sana vilevile nimefurahi sana kuona hata baadhi ya picha ninazopiga mimi mwenye unazipenda na zinatumiwa sehemu mbalimbali.

      Delete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages