Mgombea Uwakilishi Katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Uzini(CCM)Mohamed Raza Arejesha Fomu ya Kugombea Uwakilishi Katika Jimbo Hilo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mgombea Uwakilishi Katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Uzini(CCM)Mohamed Raza Arejesha Fomu ya Kugombea Uwakilishi Katika Jimbo Hilo

MGOMBEA Uwakilishi katika uchaguzi mdogo jimbo la Uzini kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,Muhamed Raza,akirejesha fomu ya kugombea uwakilishi katika jimbo hilo kwa msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Kati Mussa Ali Juma, baada ya kukamilisha taratibu za kuijaza fomu hiyo,hafla hiyo ilifanyika ofisi za Tume ya Uchaguzi Koani.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages