Hafla ya Kukaribisha Mwaka Mpya iliyoandaliwa na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu Yafana - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Hafla ya Kukaribisha Mwaka Mpya iliyoandaliwa na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu Yafana

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu akitambulisha baadhi ya waaalikwa waliosaidia kuchangia katika mfukio wa elimu wa kusomesha vijana mbalimbali nchini elimu ya sekondari hadi chuo kikuu wakati wa hafla ya mwaka mpya aliyoiandaa nyumbani kwake kijiji cha Ilikrevu  mkoani Arusha wakati wa mwaka mpya.
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu na Mkewe Faraja wakikata keki  katika sherehe ya mwaka mpya waliyoiandaa nyumbani kwao Arumeru Mkoani Arusha wakati wa Mwaka mpya,
Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu akicheza na watoto katika sherehe ya mwaka mpya aliyoiandaa nyuimbani kwake Arumeru mkoani arusha.
Mke wa Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu na Faraja(wa pili kushoto)akiongoza Wageni Mbalimbali kucheza mziki

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages