26 Waziri Mkuu Mizengo Pinda Afungua Mkutano wa Majadiliano ya Kisera Kuhusu Matumizi ya Umma na Wiki ya Umaskini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

26 Waziri Mkuu Mizengo Pinda Afungua Mkutano wa Majadiliano ya Kisera Kuhusu Matumizi ya Umma na Wiki ya Umaskini

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Marrkani nchini, Bw. Alfonso Lenhardt baada ya kufungua Mkutano wa majadiliano ya Kisera kuhusu Matumizi ya Umma na Wiki na Wiki ya Umaskini kwenye ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl - Ubungo Plaza jijini Dar es salaam Januari 26,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Fedha,Mustafa Mkulo baada ya kufungua Mkutano wa Majadiliano ya Kisera kuhusu Matumizi ya Umma na Wiki ya Umaskini kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl- Ubungo Plaza jijini Dar es salaam Januari 26,2012

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages