Wasanii wa kikundi cha SISI
TAMBARA wakitumbuiza wakati wa ufunguzi wa sherehe za miaka 50 ya
uhuru wa Tanzania bara kwa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo
zinazofanyika katika viwanja vya kumbukumbu ya Joseph Kazurira Nyerere,
Butiama mkoani Mara. Maonyesho hayo yalizinduliwa juzi na Waziri wa
Wizara hiyo, Dk. Emmanuel Nchimbi.
Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimnbi akiwahutubia wafanyakazi wa
Wizara hiyo pamoja na wananchi mbalimbali waliohudhuria sherehe za
ufunguzi wa maonyesho ya uhuru wa Tanzania bara kwa Wizara hiyo katika
ukumbi wa Joseph Kazurira Nyerere, Butiama mkoani Mara. PICHA NA ANNA ITENDA- MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)