WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA WANAOSOMEA FANI YA ELIMU YA JAMII (SOCIOLOGY) WATEMBELEA KIJIJI CHA MATUMAINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA WANAOSOMEA FANI YA ELIMU YA JAMII (SOCIOLOGY) WATEMBELEA KIJIJI CHA MATUMAINI

 
Mwenyekiti wa Taasisi Ya Wanafunzi Wanasomea Fani ya Elimu Ya Jamii (SOCIOLOGY) ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Alipokua Akiongea na Watoto Wanaoishi Na virusi vya Ukimwi wa Kijiji Cha Matumaini kilichopo Dodoma Eneo La Kisasa.
Baadhi  Ya Wanafunzi Wanasomea Fani Ya Elimu Ya Jamii (SOCIOLOGY) katika Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiwa Wamekiti Chini Pamoja Na Watoto Waishio Na Virusi Vya Ukimwi Wa Kijiji Cha Matumaini kilichopo Dodoma Kisasa Kwa Kuguswa Kwako Na Matatizo Yanayowakabili Watoto Hao.
Mmiliki na Muandaaji wa LUKAZA BLOG Mh Josephat Lukaza Ni Mmoja Kati Ya Wanafunzi Wanaosomea Fani Ya Elimu Ya Jamii Kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma.Na Mmoja Kati ya wanafunzi walioshiriki katika kuwatembelea watoto hao waishio kijiji cha matumaini
Mtoto Huyu Akiwa Amebebwa Na Mwanafunzi Wa Fani Ya Elimu Ya Jamii Wakati Wanafunzi Hao Walipotembelea Kijiji Cha Matumaini Kilichopo Eneo La Kisasa Dodoma.
 Mwenyekiti Ibrahim Bakari Pamoja Na Baadhi Ya Wanafunzi Walipokua Wakikabidhi Misaada Kwa Kijiji Cha Matumaini Ambacho Watoto Hao Wanapoishi.
Katika Picha Ya Pamoja 
Mdada Wa Sociology Akiwa katika Picha Ya Pamoja Na Watoto.
Kwa Picha Zaidi Na Habari  <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages