Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud (alievaa tai rangi ya bluu) akimkabidhi Kitanda na Mashuka Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Mnazimmoja Dkt. Ali Salum (kulia) Mbunge wa viti Maalum Wanawake CCM Asha Abdalla Juma, Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Abdalla Duchi na (kushoto) Meneja Uhusiano Faraja Kaziulaya kutoka Dar es Salam.
BENKI ya NMB imetoa msaada wa vitanda maalum vya kujifungulia pamoja na mashuka katika Hospitali ya Mnazi mmoja, mjini Zanzibar vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 10. Vifaa hivyo vimepokelewa na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Ayoub Mohamed Mahmoud ambaye alikuwa ni mgeni rasmi katika hafla hiyo. |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)