Pages

NMB YAWAAHIDI WAFANYABIASHARA BUKOBA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA

DSC_0009
Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya NMB, Bw. Tom Borghols kizungumza na wana Klabu ya Biashara Mkoa wa Kagera Ukumbi wa ELCT, Bukoba Hotel.

DSC_0047
Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya NMB, Bw. Tom Borghols (kushoto) akimtunuku cheti mmoja wa wafanyabiashara katika Klabu hiyo kutambua nidhamu ya kibiashara (uaminifu) anaoionesha kwa NMB.

DSC_0056
Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya NMB, Bw. Tom Borghols (kushoto) akimtunuku cheti mmoja wa wafanyabiashara katika Klabu hiyo kutambua nidhamu ya kibiashara (uaminifu) anaoionesha kwa NMB.

KLABU ya Wafanyabiashara ya NMB Bukoba imekutana na uongozi wa juu wa Benki ya NMB katika mkutano wa kawaida kuzungumzia changaamoto mbalimbali wanazokutana nazo na namna ya kuzitatua.

Katika mkutano huo, uliohudhuriwa na Mkurugenzi wa Mikopo wa NMB, Bw. Tom Borghols aliwataka wafanyabiashara kutoa ushauri bora ambao wanaamini utajenga ushirikiano kati ya pande hizo na hatimaye kufanya vizuri katika biashara zao. Mbali na hayo washiriki walipata mafunzo mbalimbali ya kibiashara yaliowasilishwa na wataalam yakilenga kukuza biashara zao.

DSC_0004
Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya NMB, Bw. Tom Borghols kizungumza na wana Klabu ya Biashara Mkoa wa Kagera Ukumbi wa ELCT, Bukoba Hotel.

DSC_0086
Sehemu ya Wafanyabiashara wa Klabu ya NMB Bukoba wakifuatilia  mkutano huo na NMB.

DSC_0008
Sehemu ya Wafanyabiashara wa Klabu ya NMB Bukoba wakifuatilia  mkutano huo na NMB.

DSC_0091
Sehemu ya Wafanyabiashara wa Klabu ya NMB Bukoba wakifuatilia  mkutano huo na NMB.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)