Pages

NMB YATOA MAFUNZO KWA MAWAKALA WAKE MKOA WA KAGERA

DSC_8576
Meza kuu ikiendesha warsha ya mafunzo kwa mawakala wa Benki ya NMB Mkoa wa Kagera.

DSC_8706
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB Mkoa wa Kagera, akitoa mada kwenye warsha ya mafunzo kwa mawakala wa NMB.

DSC_8645
Sehemu ya mawakala wa NMB wakiwa katika mkutano huo wa mafunzo ulifanyika katika Ukumbi wa St. Thereza Manispaa ya Bukoba.

DSC_8613
Warsha ya mawakala wa NMB ikiendelea katika Ukumbi wa St. Thereza Manispaa ya Bukoba.

DSC_8711
Warsha ya mawakala wa NMB ikiendelea katika Ukumbi wa St. Thereza Manispaa ya Bukoba.

DSC_8650
Mmoja wa mawakala wa NMB akiuliza swali katika warsha hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa St. Thereza Manispaa ya Bukoba.

DSC_8577
Warsha ya mawakala wa NMB ikiendelea katika Ukumbi wa St. Thereza Manispaa ya Bukoba.

DSC_8738
Picha ya pamoja na Meneja wa Mawakala Kanda ya Ziwa na Wafanyakazi wa NMB Bukoba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)