Pages

VIDEO - “ WILAYA YA TUNDURU IMETUPA KASHIFA YA AIBU,MWALIMU WA SEKONDARI ALIYEMPA MIMBA MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI ACHUKULIWE HATUA” RC MNDEME

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza mwalimu wa sekondari aliyempa mimba mwanafunzi wa shule ya msingi achukuliwe hatua haraka iwezekanavyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)