Pages

WASHINDI WA 'MZUKA WA SOKA NA COKA' MOSHI NA MWANZA WAKABIDHIWA ZAWADI

Wateja wa vinywaji vya kampuni ya Coca-Cola katika mikoa ya Kilimanjaro na Mwanza waliojishindia zawadi kupitia promosheni ya kampuni hiyo inayoendelea ya ‘Mzuka wa Soka na Coka’wamekabidhiwa zawadi zao.Promosheni hiyo inawezesha kujishindia luninga za kisasa, Pikipiki, fedha taslimu, soda za zawadi nyinginezo.


Meneja Mkuu wa Masoko na Mauzo ya Kiwanda cha Bonite Bottlers ,Christopher Loiruk akikabidhi zawadi za pikipiki kwa washindi, Andrea Tarimo na Elizabeth Msangi, katika hafla iliyofanyika mjini Moshi.
Eric Masawe wa Sambarai Moshi akipokea kitita cha shilingi 100,000 kutoka kwa Mkurugenzi wa Fedha wa Bonite Bottlers,Ramadhan Ananth.
Meneja wa chapa ya Coca-Cola nchini, Sialouse shayo, akikabidhi zawadi za luninga kwa washindi
Meneja wa chapa ya Coca-Cola nchini, Sialouse shayo,akikabidhi zawadi za luninga kwa washindi
Wakazi wa Mwanza, Ibrahim Martin na Nyamaili Werema wakiwa na luninga zao baada ya kukabidhiwa katika hafla iliyofanyika Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)