Pages

VIDEO:RAS WALIMU WAMEVUNJIKA MOYO SANA KUTOKANA NA UONGOZI MBAYA WA BAADHI YA VIONGOZI.

Katibu tawala mkoa wa RUVUMA HASSANI BENDEYEKO amesema sababu za mkoa wa Ruvuma kufanya vibaya katika matokeo ya kidato cha nne mwaka 2017 unatokana na walimu wengi kukosa morali ya kufanya kazi kutokana na uongozi mbaya kwa baadhi yao katika halimashauri za mkoa huo,ambapo mkoa wa Ruvuma katika matokeo hayo imeshika nafasi ya 25 katika ya mikoa 30
HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)