Pages

VIDEO - WAKULIMA WALIOTAPELIWA MILIONI 56 WAMEANZA KULIPWA PESA ZAO

Zaidi ya wakulima mia moja wa korosho katika Kijiji cha Namiungo Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma waliokuwa wametapeliwa Tani 15 za korosho zenye thamani ya Shilingi Milioni 56 na Kampuni ya ZUMA CARGO wameanza kulipwa fedha zao.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)