Pages

ILI UWE MWALIMU MKUU LAZIMA SHULE YAKO IFAHURISHWE KUANZIA ASILIMIA 60 HADI 90

Katibu tawala mkoa wa Ruvuma HASSAN BENDEYEKO amesema ili mwalimu katika shule husika ateuliwe mkuwa mwalimu mkuu ni lazima awe amefahurisha wanafunzi kwa asilimia 60 hadi 90 hii itasaidi kwa mkoa wa Ruvuma katika kukabiliana na uporomokaji wa elimu kwa kipindi cha mwaka 2017 baada ya mkoa huo kufanya vibaya katika matokeo ya kidato cha nne.


HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.</strong

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)