Pages

TANGA UWASA ,JUIN COMPAY LIMITED WAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO KUTEKELEZA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO

 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares kushoto akisaini mkataba wa kutekeleza mradi wa Maji wilayani  Lushoto na Mkandarasi wa mradi huo Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin  Company Limited Civili&Building Contractors ambao utagharimu milioni 700 wanaoshuhudia nyumba kushoto ni Mbunge wa Jimbo  la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia

 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi  wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares na Mkandarasi Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company  Limited Civili&Building Contractors ambaye atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto mbao utagharimu milioni 700  wakibaliashana hati za makubaliano mara baada ya kusaini mkataba
  Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi  wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares na Mkandarasi Justice Kato  kutoka kampuni ya Juin Company  Limited Civili&Building Contractors ambaye atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto mbao utagharimu milioni 700  wakionyesha hati za makubaliano mara baada ya kusaini mkataba
  Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares akizungumza wakati wa utiliaji saini wa makubaliano hayo  kulia ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi
 Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)  Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akizungumza wakati wa utiliaji  saini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa maji wilayani Lushoto  kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa  Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares
Mkandarasi Justice Kato  kutoka Kampuni ya Juin Company  Limited Civili&Building Contractors ambaye atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto ambao utagharimu milioni 700 akizungumza katika wa utiliaji saini wa makubaliano ya mkataba halfa  iliyofanyika mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga  (Tanga Uwasa)
 Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katikati akiwa kwenye picha ya  pamoja na watumishi wa mamlaka ya maji safi na usafiri wa mazingira  Jijini Tanga (Tanga Uwasa) kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo
Mhandisi Aram Phares kushoto ni Mkandarasi wa ambaye atatekeleza Mradi  wa Maji wilayani Lushoto kutoka kampuni ya Juin Company Limited   Civili&Building Contractors Justice Kato

 Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)  Shabani Shekilindi kulia akiagana na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)