Pages

Rise Charity wadumisha upendo kwa kuwatembelea Watoto yatima


Katika kusambaza upendo kwa jamii  ya Tanzania ,Shirika lisilo la  kiserikali la Rise Charry leo limeadhimisha kilele cha msimu wa   wapendanao kwa kutoa msaada katika kituo cha  sixten Anderson Orphanage Center   kilichopo  mkoani pwani, wilaya ya kibaha ikiwa ni  miongoni mwa shughuli zinazofanywa na shirika hilo


Maadhimisho hayo ambayo yamehusisha marafiki na wananchi mbalimbali 
ambao ni watu wa karibu Rise charity pamoja na watoto wa sixten  Anderson Orphanage Center yamefanyika katika uwancha wa kituo hicho kwa kusheherekea kwapamoja
Watoto waishio katika kituo cha sixten Anderson Orphanage Center wakipata chakula
Viongozi mbalimbali wa Rise Charity, Wadau pamoja na watoto wa sixten Anderson Orphanage Center wakiwa katika picha ya pamoja
Viongozi wa Rise Charity Kulia Mkurugenzi Mtendaji  Mr Innocent Horomo, kushoto katibu wa Rise Charity Mr Atley Kayuni  na watoto wa sixten Anderson Orphanage Center

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)