Pages

WAZIRI UMMY AIKABIDHI TIMU YA COASTAL UNION MILIONI 2 BAADA YA KUIFUNGA KURUGENZI WA MUFINDI MABAO 3-0 LEO


 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa pili kutoka kulia Ummy Mwalimu  akimkabidhi kitita cha sh.milioni mbili nahodha wa timu ya Coastal Hussein Sharifu maarufu Casilasi mara baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga leo kulia ni Mwandishi wa TBC Tanga Bertha Mwambela akishuhudia
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa pili kutoka kulia Ummy Mwalimu akimkabidhi kitita cha sh.milioni mbili nahodha wa timu ya Coastal Hussein Sharifu maarufu Casilasi mara baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi daraja la kwanza dhidi ya Kurugenzi wa Mufindi uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga leo
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa pili kutoka kulia Ummy Mwalimu akicheza ngoma ya kiisifu Coastal Union wakati alipokuwa akihamasisha ushindi wa timu hiyo kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani leo ambapo Coastal Union iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kurugenzi wa Mufundi
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa pili kutoka kulia Ummy Mwalimu akicheza ngoma ya kiisifu Coastal Union wakati alipokuwa akihamasisha ushindi wa timu hiyo kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani leo ambapo Coastal Union iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kurugenzi wa Mufundi
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa pili kutoka kulia Ummy Mwalimu akicheza ngoma ya kiisifu Coastal Union wakati alipokuwa akihamasisha ushindi wa timu hiyo kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani leo ambapo Coastal Union iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kurugenzi wa Mufundi(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya
Tanga Raha)


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)