Pages

TAARIFA KUTOKA TANESCO KWA WATEJA WAKE WA MKOA WA TEMEKE

TAARIFA YA WATEJA WETU WA MKOA WA TEMEKE

Tunawatangazia Wateja wetu kuwa tumelazimika kuzima  njia ya umeme ya Kipawa-Chang'ombe saa 1:30 Asubuhi baada ya moto kutokea kwenye "arrestor" ya Kituo cha kupoza umeme cha Chan'gombe.

Mafundi wanaendelea na jitihada za kurejesha umeme. Tutaendelea
kutoa taarifa zaidi.

Kwa mawasiliano toa taarifa kupitia,


Kituo cha miito ya simu 
Makao Makuu 
+255 222 194 400 na +255 768 985
100
Tovuti: www.tanesco.co.tz,
mitandao ya kijamii:

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
 Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

 IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO
 TANESCO MAKAO MAKUU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)