Pages

TPB Bank Plc, Multichoice kuwapatia Watanzania DStv kwa Mkopo

Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya TPB Sabasaba Moshingi (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande (kushoto) wakibadilishana nyaraka za makubaliano mara baada ya kusaini.
Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya TPB Sabasaba Moshingi (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande (kushoto) wakibadilishana nyaraka za makubaliano mara baada ya kusaini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye hafla ya kusaini makubaliano rasmi na Benki ya TPB ambapo sasa wafanyakazi umma, wateja na hata wale wasio wateja wanaweza kupata ving’amuzi vya DStv kwa mkopo na kisha kulipia kidogo kidogo. Katikati ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mauzo wa Multichoice Tanzania, Salum Salum. Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya TPB Sabasaba Moshingi (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande (kushoto) wakisaini makubaliano ya ushirikiano, ambapo kwa sasa wafanyakazi umma, wateja na hata wale wasio wateja wanaweza kupata ving’amuzi vya DStv kwa mkopo na kisha kulipia kidogo kidogo. Nyuma yao ni mashahidi kutoka pambe zote mbili.
Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya TPB Sabasaba Moshingi (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande (kushoto) wakisaini makubaliano ya ushirikiano, ambapo kwa sasa wafanyakazi umma, wateja na hata wale wasio wateja wanaweza kupata ving’amuzi vya DStv kwa mkopo na kisha kulipia kidogo kidogo. Nyuma yao ni mashahidi kutoka pambe zote mbili.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye hafla ya kusaini makubaliano rasmi na kampuni ya Multichoice Tanzania inayotoa huduma za DStv, sasa wafanyakazi umma, wateja na hata wale wasio wateja sasa wanaweza kupata ving’amuzi vya DStv kwa mkopo na kisha kulipia kidogo kidogo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania, Maharage Chande.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)