Pages

Benki ya NMB yafungua tawi jipya Hedaru wilayani Same

Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Staki Senyamule (katikati) akikata utepe kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa Tawi la NMB Hedaru, tawi hili ni la pili kwa Benki hiyo katika Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro. Kushoto ni Afisa Mkuu Huduma za Kibenki kwa Wateja Wadogo na wa Kati Bw. Abdulmajid Nsekela na kulia ni Meneja wa NMB Kanda ya kaskazini Bw.Salie Mlay. Uzinduzi wa tawi hili unafanya benki hiyo kuwa na jumla ya matawi 213 Nchi nzima. Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Staki Senyamule (katikati) akikata utepe kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa Tawi la NMB Hedaru, tawi hili ni la pili kwa Benki hiyo katika Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro. Kushoto ni Afisa Mkuu Huduma za Kibenki kwa Wateja Wadogo na wa Kati Bw. Abdulmajid Nsekela na kulia ni Meneja wa NMB Kanda ya kaskazini Bw.Salie Mlay. Uzinduzi wa tawi hili unafanya benki hiyo kuwa na jumla ya matawi 213 Nchi nzima. Mkuu wa Wilaya ya Same Rosemary Staki Senyamule (katikati) akifunua kitamba kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa Tawi la NMB Hedaru, tawi hili ni la pili kwa Benki hiyo katika Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro, kushoto ni Afisa Mkuu Huduma za Kibenki kwa Wateja Wadogo na wa Kati Bw. Abdulmajid Nsekela na Meneja wa NMB Kanda ya kaskazini Bw.Salie Mlay. Uzinduzi wa tawi hili unafanya benki hiyo kuwa na matawi 213 Nchi nzima. Picha kwa hisani ya NMB Afisa Mkuu Huduma za Kibenki kwa Wateja Wadogo na wa Kati Bw. Abdulmajid Nsekela na Mkuu wa wilaya ya Same, Rosemery Staki wakipiga makofi mara baada ya tendo la uzinduziwa tawi hilo kufanyika.
 
Afisa Mkuu Huduma za Kibenki kwa Wateja Wadogo na wa Kati Bw. Abdulmajid Nsekela akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la NMB - Hedaru. Afisa Mkuu Huduma za Kibenki kwa Wateja Wadogo na wa Kati Bw. Abdulmajid Nsekela akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Same, Rosemery Staki wakati wa uzinduzi wa tawi hilo. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)