Pages

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA TANESCO SACCOS LTD WAFANYIKA JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Bodi ya Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo cha Wafanyakazi wa Shirika la Ugavi la Umeme (TANESCO),  TANESCO
Saccos Ltd, Somoe Nguhwe akiwasilisha ripoti ya mwaka ya saccos hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka, uliofanyika katika Ukumbi wa LAPF Kisenga jijini Dar es Salaam jana. 
 PICHA ZOTE/JOHN BADI/DAILY MITIKASI BLOG

Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uwekezaji wa Shirika la Ugavi Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Khalid James akifungua mkutano huo.
Sehemu ya Wanachama wa Saccos hiyo, kutoka mikoa yote ya Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uwekezaji wa Shirika la Ugavi Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Khalid James akikabidhi Tuzo ya Mwanachama Bora wa Mwaka 2017 kwa Mwanachama Sabina Daati.

Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uwekezaji wa Shirika la Ugavi Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Khalid James akikabidhi Tuzo ya Mwanachama Bora wa Mwaka 2017kwa Mwanachama Renatus Mfilinge.

Naibu Mkurugenzi Mtendaji Uwekezaji wa Shirika la Ugavi Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Khalid James na Viongozi wa Saccos hiyo, wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa  Tuzo ya Mwanachama Bora 2017.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)