Pages

Roma na Stamina(Rostam) wafunika Tamasha la Tigo Fiesta Musoma

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Roma Mkatoliki na Stamina(Rostam) wakitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye tamsha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana.








Meneja wa Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi Tigo kanda ya Ziwa Edgar Mapande,akizungumza na waandishi wa habari, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye uzinduzi wa tamsha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana .




Fareed Kubanda "Fid q akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa Karume mkoani Mara.



Jux akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Musoma Katinka jukwaa la Tigo Fiesta 



Mr Blue naye alikuwa katika list ya wasanii walitoa burudani katika jukwaa la Tigo Fiesta .
Nandy akitumbuiza kaaika jukwaa la Tigo Fiesta mapema jana katika uwanja wa karume Mkoani Mara.



Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa(aliyevaa koti la suti) akizindua tamasha la Tigo Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoani humo usiku wa kuamkia jana .




Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk Charles Mlingwa(aliyevaa koti la suti) akicheza mziki wakati wa uzinduzi wa tamasha la Tigo Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoani humo usiku wa kuamkia jana .










Msanii wa nyimbo za kitamaduni Saida Karoli, akitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye tamsha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana .



Msanii wa nyimbo za kitamaduni Saida Karoli, akitumbuiza kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma Mkoa wa Mara,kwenye tamsha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jana






Weusi wakitumbuiza kaaika jukwad la Tigo Fiesta



Chege akilishambulia jukwad la tigo Fiesta usiku wa kuamkia leo mjini Musoma 






Wakazi wa Musoma mjini na maeneo ya jirani wakifurahia burudani ya tamasha la Tigo Fiesta, kwenye uwanja wa Karume mkoani Mara usiku wa kuamkia jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)