Pages

JWTZ laadhimisha miaka 53 tokea kuanzishwa kwake

8
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wa kwanza kushoto  pamoja na Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange mara baada ya kuzungumza kuhusu miaka 53 tangu  kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo  Ngome jijini Dar es Salaam.
3
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya   Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia  maadhimisho  ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao  makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
9
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na  Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu  Mirisho Sarakikya wanne kutoka kushoto Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange wanne kutoka kulia Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali  Mwakibolwa watatu kutoka kushoto mstari wa mbele pamoja na Wakuu wa  Kamandi na machifu wa Makao makuu ya Jeshi hilo.(PICHA NA MPIGA PICHA WETU)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)