Meneja wa NMB, Kanda ya kati, Straton Chilongola (kushoto) akimkabidhi msaada wa madawati mkuu wa Wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga wakati wa ufunguzi wa tawi la benki ya Nmb, msaada huo wa madawati una thamani ya shilingi milioni 20. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga (watatu katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi tawi jipya la Benki ya NMB Chamwino Mkoani Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga akitoa kitambaa ikiwa ni ishara ya ufunguzi rasmi wa Tawi jipya la Benki ya NMB la Chamwino Mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)