Pages

Heri ya Kumbukumbu ya Siku yako ya Kuzaliwa Mdau Mc Baraka wa @Bukobawadau

Mungu akupe miaka mingi na heri duniani ukapate kuishi kwingi na kuona mengi lakini Akakulinde na Kila hila za dunia na akujalie afya njema ambayo itakufanya umkumbuke yeye Kwa Ibada, Sala na Sadaka takatifu mbele zake.

Happy Birthday Mkuu Mc Baraka 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)